UTV Tanzania
UTV Tanzania
  • Видео 3 757
  • Просмотров 8 195 061
Ukosefu wa vivuko kaa la moto kwa wakazi wa Kigamboni
Ukosefu wa vivuko vya kutosha umekuwa kaa la moto kwa wakazi wa Kigamboni kutokana na kulazimika kulala upande wa ferry na hivyo kushinikiza kubadilishwa kwa ratiba za safari.
Wakazi hao wanasema mara nyingi kivuko kilichobakia kimekuwa hakitoi huduma hadi saa saba usiku kama ilivyopangwa kitu kinachosababisha usumbufu na hata kuhatarisha usalama wanapopita njia mbadala.
#AzamTVUpdates
Wahariri | Onike Masayanyika, John Mbalamwezi
Просмотров: 39

Видео

Watu zaidi ya 10 wafariki wakati wa maandamano
Просмотров 6113 часов назад
Watu zaidi ya 10 wamefariki wakati wa maandamano ya kupinga mapendekezo ya nyongeza ya kodi yaliyomo kwenye muswada mpya wa fedha wa mwaka 2024 nchini Kenya. Vifo hivyo vinatokana na polisi kuwashambulia waandamanaji walipovunja vizuizi na kuingia katika majengo ya bunge muda mchache baada ya bunge kupitisha muswada huo. #AzamTVUpdates Wahariri | Onike Masayanyika, John Mbalamwezi
Mjadala Bajeti Kuu ya Serikali kufikia fikia tamati leo
Просмотров 2113 часов назад
Mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali inafikia tamati leo baada ya wabunge kuchangia kwa siku sita wakishauri maeneo ambayo serikali iyafanyie marekebisho ili bajeti iwe bora. Wabunge wameendelea kuishauri serikali kuhusua upatikanaji wa dola, uwekezaji sekta ya elimu pamoja na uangalizi wa watu wenye ualbino. #AzamTVUpdates Wahariri | Onike Masayanyika, John Mbalamwezi
Watuhumiwa 181 wa vitendo vya uhalifu wa kupora mali za watu wakamatwa
Просмотров 2413 часов назад
Watuhumiwa 181 wa vitendo vya uhalifu wa kupora mali za watu wanaojulikana kwa jina maarufu la ‘Mazombi’ katika Mji Mdogo wa Katoro na Buseresere mkoani Geita wanashikiliwa na Jeshi la Polisi. #AzamTVUpdates Wahariri | Onike Masayanyika, John Mbalamwezi
Kusimamishwa kwa Mpina kusihusishwe na masuala ya kisiasa
Просмотров 18213 часов назад
Siku moja baada ya Bunge kumfungia Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhudhuria vikao 15, jambo hilo limetakiwa kutohusishwa na masuala ya kisiasa, bali ukiukwaji wa kanuni za bunge. #AzamTVUpdates Wahariri | Onike Masayanyika, John Mbalamwezi
Viongozi wa wafanyabiashara wakutana na Kamati ya Bunge
Просмотров 9613 часов назад
Mgomo wa wafanyabiashara umeingia siku ya pili eneo la Kariakoo na Manzese Dar es Salaam kipindi hiki viongozi wa jumuiya ya wafanyabiashara wakikutana na Kamati ya Bunge kusaka suluhisho la mvutano uliopo. #AzamTVUpdates Wahariri | Onike Masayanyika, John Mbalamwezi
ALASIRI LOUNGE || Chanzo cha mgomo kwa wafanyabiashara ni nini ?
Просмотров 5617 часов назад
Wafanyabiashara katikati ya Jiji la Mwanza wamegoma kufungua maduka kwa kile walichokieleza kuwa ni utitiri wa kodi na tozo na sisi tunaangazia nini chanzo chake?
ALASIRI LOUNGE || Mjadala juu ya nini sababu mgomo wa wafanyabiashara Dar es salaam
Просмотров 3617 часов назад
Wafanyabiashara wamegoma kufungua maduka kwa kile walichokieleza kuwa ni utitiri wa kodi na tozo ikiwa ni kuunga mkono wale wafanyabiashara wa kariakoo.
Katibu wa Wafanyabiashara afunguka walipofikia kusitisha mgomo, kufikisha kilio serikalini
Просмотров 2818 часов назад
Kufuatia mgomo wa wafanyabiashara nchini ulioanzia Kariakoo Dar es Salaam, Katibu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini amefunguka hatua waliyofikia katika kulilia maslahi yao na kuheshimu serikali.
Mgomo wa Wafanyabiashara waingia Mbeya na Mwanza, Viongozi wa wafanyabiashara wakutana na Serikali
Просмотров 41518 часов назад
Kufuatia mgomo wa baadhi ya maduka katika maeneo ya Kariakoo Dar es Salaam, mgomo huo umesogea mpaka kwenye miji mikubwa Mbeya na Mwanza huku viongozi wafanyabiashara hao wakifanya jitihada kukutana na viongozi wa Serikali ili kutatua changamoto zinazowakabili.
Mawaziri Eneo Huru la Biashara Afrika watafuta ufumbuzi wa changamoto za usalama, miundombinu
Просмотров 1619 часов назад
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdullah amesema kunahitajika mikakkati thabiti ya kutatua changamoto za ukosefu wa usalama na ukosefu wa nishati katika baadhi ya maeneo kunachangia kukwama kwa juhudi za maendeleo barani Afrika. Hayo ameyasema wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 14 wa Baraza la Mawaziri wa Eneo Huru la Biashara Afrika. Imeandaliwa na Mtumwa Said || Mhariri @mose...
Watoto Milioni tisa wakabiliwa na hali mbaya ya afya kutokana na ukosefu wa chakula Sudan
Просмотров 2019 часов назад
Watoto Milioni tisa wakabiliwa na hali mbaya ya afya kutokana na ukosefu wa chakula Sudan
Bilioni Mbili zahitajika kuvinusuru vijiji 23 na tishio la mlipuko wa magonjwa ikiwemo Kipindupindu
Просмотров 1619 часов назад
Bilioni Mbili zahitajika kuvinusuru vijiji 23 na tishio la mlipuko wa magonjwa ikiwemo Kipindupindu
DC Pangani apinga wanafunzi kutoka shule usiku, asisitiza inachangia mmomonyoko wa maadili
Просмотров 1022 часа назад
DC Pangani apinga wanafunzi kutoka shule usiku, asisitiza inachangia mmomonyoko wa maadili
RC Mrindoko ataka Katavi na Kigoma kushirikiana katika kulinda hifadhi za taifa, wanyama pori
Просмотров 3122 часа назад
RC Mrindoko ataka Katavi na Kigoma kushirikiana katika kulinda hifadhi za taifa, wanyama pori
Dkt. Saada Mkuya awahimiza wanawake TAWIFA kupambania nafasi za juu za uongozi
Просмотров 152 часа назад
Dkt. Saada Mkuya awahimiza wanawake TAWIFA kupambania nafasi za juu za uongozi
Kamati ya Bunge yapendekeza Mpina achukuliwe hatua
Просмотров 592 часа назад
Kamati ya Bunge yapendekeza Mpina achukuliwe hatua
Serikali yashauriwa kuchukua hatua wanaodaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja
Просмотров 242 часа назад
Serikali yashauriwa kuchukua hatua wanaodaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja
Hatua za haraka zachukuliwa Kariakoo baada ya wafanyabiashara kugoma
Просмотров 8342 часа назад
Hatua za haraka zachukuliwa Kariakoo baada ya wafanyabiashara kugoma
Geita 'kongole' kupunguza vifo vya uzazi kwa watoto wachanga, jitihada za madaktari, wauguzi zatajwa
Просмотров 222 часа назад
Geita 'kongole' kupunguza vifo vya uzazi kwa watoto wachanga, jitihada za madaktari, wauguzi zatajwa
Foundation For Disability Hope yaitaka jamii kuungana kupambana na ukatili dhidi ya wenye ualbino
Просмотров 72 часа назад
Foundation For Disability Hope yaitaka jamii kuungana kupambana na ukatili dhidi ya wenye ualbino
Naibu Waziri wa Maji Acharuka Muheza, ahamisha majukumu ya RUWASA na kuwapa TANGA-UWASA
Просмотров 512 часа назад
Naibu Waziri wa Maji Acharuka Muheza, ahamisha majukumu ya RUWASA na kuwapa TANGA-UWASA
ALASIRI LOUNGE || Mjadala juu ya mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo
Просмотров 372 часа назад
ALASIRI LOUNGE || Mjadala juu ya mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo
Ukatili wa kingono waongezeka Kigoma
Просмотров 332 часа назад
Ukatili wa kingono waongezeka Kigoma
Polisi wakagua magari ya wanafunzi
Просмотров 862 часа назад
Polisi wakagua magari ya wanafunzi
Serikali yatakiwa kuunda Baraza la Dini kushughulikia imani za kishirikina
Просмотров 204 часа назад
Serikali yatakiwa kuunda Baraza la Dini kushughulikia imani za kishirikina
Waziri Mkuu ahimiza viongozi kusimamia usalama wa takwimu na faragha
Просмотров 174 часа назад
Waziri Mkuu ahimiza viongozi kusimamia usalama wa takwimu na faragha
MIZANI YA WIKI || Juhudi zinazofanyika kuwalinda wenye Ualbino zinatosha?
Просмотров 1544 часа назад
MIZANI YA WIKI || Juhudi zinazofanyika kuwalinda wenye Ualbino zinatosha?
Wakiadhimisha siku yao rasmi, wajane walia na milapotofu na dhuluma
Просмотров 514 часа назад
Wakiadhimisha siku yao rasmi, wajane walia na milapotofu na dhuluma
Ajali ya moto yateketeza familia ya watoto watatu na baba yao Arusha
Просмотров 2,1 тыс.4 часа назад
Ajali ya moto yateketeza familia ya watoto watatu na baba yao Arusha

Комментарии

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 52 минуты назад

    Na Kwa nini mwenzako alitekwa wewe hukutekwa ulimuuza wewe kamiliusi wambula kama ni mwaume amuuwe huyo ccm kiwake mpaka mlangoni kwake yeye siameshiba

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 55 минут назад

    Kati ya hayo muliyo kubaliana wamefuta yapi?

  • @bennagemeestate820
    @bennagemeestate820 Час назад

    #3:37 Wengine hawajafungua jamaa kajitoa ila nyie hakuna umoja wa wenye njaa

  • @LighySteven-gd8wo
    @LighySteven-gd8wo 3 часа назад

    Kodi zipungue😊

  • @YuscoPaivo
    @YuscoPaivo 7 часов назад

    26-06-2024

  • @fredrickfuraha
    @fredrickfuraha 7 часов назад

    Kazi ni kupongeza tuy. Million 20 ndo serkal ikoseee?????

  • @mussaukwaju6495
    @mussaukwaju6495 10 часов назад

    26.06.2024

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 12 часов назад

    Simba babalao Africa

  • @georgempogomi7329
    @georgempogomi7329 14 часов назад

    Wewe Mkumbo utaujua TU ukweli kwamba Kodi tunalipa mnaziiba zote nchi inaendeshwa kwa mikopo acheni wizi na kauli chafu shughulikieni haraka

  • @koya2535
    @koya2535 15 часов назад

    By working together, governments, NGOs, and the international community can create a safer environment for people with albinism in Tanzania and across Africa.

  • @user-hf5qq2qy4y
    @user-hf5qq2qy4y 15 часов назад

    Eeeh Mungu walaani hao

  • @aliakrabi8321
    @aliakrabi8321 23 часа назад

    Acheni ushamba, abiria wanakata tiket kutoka dar town to pugu/bunju wakiziba nafasi ya watu wanaosafiri kwenda mkoani

  • @ELIREHEMATULO
    @ELIREHEMATULO День назад

    Kwa hakika kufuatia mgomo wafanya biashara solo la Karuiakoo kwa mara nyingine utumiwe kama. Kipino Cha kusimamia hatua kubwa Tanzania tumefika kisiasa na niwajibu wa kila mmoja wetu kusimamia kazi kubwa inayo simamiwa na Serikali-

  • @Jay10336
    @Jay10336 День назад

    😂😂hao jamaa ni waongo kbs ,wanaongea pumba tu hapo na nyie mnakubal au mlikos wat wa kuwahoji!

  • @FloraIkwabe-qy3yb
    @FloraIkwabe-qy3yb День назад

    Ninapokuwa na stress zinaisha kwa mechi hii na belozdad

  • @MamaGMwanjemba
    @MamaGMwanjemba День назад

    😂😂😂😂😂😂

  • @johnamos746
    @johnamos746 День назад

    Mungu akubariki Sana mama yetu Vicky Mtetema...... Kwa kutuzungumzia vyema..... Naomba Tanzania ijue hili na kulifanyia kazi..... Mama yetu VICKY MTETEMA UISHI MIAKA MINGI

  • @josepeter8033
    @josepeter8033 День назад

    Hizi kolo tulizionea😂

  • @bayekefarijala5042
    @bayekefarijala5042 День назад

    Mimi nadhani nchi ingehamasisha wafanyabiashara, kuja kujenga viwanda vyao hapa kuliko kufikiria tu kuuza umeme.

  • @ramadhaniseifuledi513
    @ramadhaniseifuledi513 День назад

    Thabit umefeli umekuwa kibaraka wa marekani

  • @user-fj6rr8yv2v
    @user-fj6rr8yv2v 2 дня назад

    Makonda mw mungu akuweke baba umejua kututetea afya

  • @user-oj5sd7se5f
    @user-oj5sd7se5f 2 дня назад

    Aiseee inaumaaa😂😂

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 2 дня назад

    SAF SANA WALIO SEMA BANDALI IMEUZWA WATAKUWA WANAUMBIKA TARATIBU😂😂😂

  • @yusufyusuf-br5qk
    @yusufyusuf-br5qk 2 дня назад

    Hatar xana aisee😂

  • @DerricusJohn
    @DerricusJohn 2 дня назад

    Tunao angalia tena mwaka 2040 tujuane hapa ✨👉

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 2 дня назад

    Siasa za story

  • @jamessanga6768
    @jamessanga6768 2 дня назад

    😅😅😅😅😅😅😅

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 3 дня назад

    We dada ulitaka kusema ukweli gari ya kiongozi ina makosa

  • @nyembomajid1262
    @nyembomajid1262 3 дня назад

    kwani hakuna namna kujenga daraja

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 3 дня назад

    Sugu mwaka 2015 ulimzuia mtu kwenye kura za ndani ukaamuru afungiwe ndani, ili upite bila kupingwa.

  • @BoneSeba-ui6jd
    @BoneSeba-ui6jd 3 дня назад

    Haya ndio mahojiano yametulia mtu anazungumza mpaka unatamani aendelee kuzungumza hongereni azam sio unamleta mtu kazu kudanganya umma hongera jongwe umeingea vema jambo lolote linabaki kwa mtu mwenyewe ahangaikie au abweteke viva chadema

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 3 дня назад

    Petroleum sukar matbab petroliam sukar matbab juu maisha magumu tunadaiwa songesha huku nipigetafu

  • @aikamboya1295
    @aikamboya1295 3 дня назад

    🎉🎉mech tamu sanah

  • @albinomayani1792
    @albinomayani1792 3 дня назад

    Kama wasimamizi wenyewe wanaoleta hoja ya kuongeza vigezo, hamna kitu hapo

  • @brightontibenda2346
    @brightontibenda2346 3 дня назад

    Hongera viongozi wa vyama vya wafanyakazi

  • @Fetymama
    @Fetymama 3 дня назад

    Hatar Sana yanga nakpenda mnoooo

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 3 дня назад

    Jambo zuri sana lakini umeme ushuke kwanza Tanzania.

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 4 дня назад

    Sugu ni mtu anaekubalika sana kwa sasa especially upinzani

  • @SarahSimkoko
    @SarahSimkoko 4 дня назад

    Katibu tawala Kilimanjaro tikson nzunda

  • @allenmambasa408
    @allenmambasa408 4 дня назад

    Hv kukata ticket inakuwaje changamoto? Hapo ndipo ninapopataga tabu na taasisi za Serikali.😢

  • @freshcash3959
    @freshcash3959 4 дня назад

    Kazi iendelee 💪🏾. Tusilalamike tu. Tufanye Kazi 🇹🇿💯

  • @francismigongwa4146
    @francismigongwa4146 4 дня назад

    Mungu utushike mkono peke yetu hatuwezi RIP Mpendwa wetu Asimwe wote waliotekeleza mauaji haya sheria ichukue mkondo wake

  • @hunstonjuliusmkonyionlinetv
    @hunstonjuliusmkonyionlinetv 4 дня назад

    Bado anatuitaji sisi tuliosomea computer engineering

  • @TIMEFRAHISHA
    @TIMEFRAHISHA 4 дня назад

    Kuna haja gani kukata tiket online halafu unakuj stesheni kuanga foleni kwanjili ya kuprint tiket? Na kwanini msiweke sistim zenu ziwe sehemu moja badala ya kupanga foleni kuchukua control number halafu upange tena foleni kulipia tiket harafu tena kupanga foleni kuprint tiket?😢

  • @user-nb5kf5ko4p
    @user-nb5kf5ko4p 4 дня назад

    Hataareeee

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 5 дней назад

    Huyo binti wa kuolewa awekeweusaidi wa mtendaji ili asipigwe,au masimango atashindwa kusoma,

  • @NDEWARA
    @NDEWARA 5 дней назад

    Mbona kichwa cha habari mhemuko😂😂😂waandishi wa Bongo😢

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 5 дней назад

    Wakenya wamesoma wanajua kinachoendelea c hp hapa Tz Tatizo shule vat Tozo petroleum sukar matbab juu maisha magumu shule baba ndoo Tatizo,

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 5 дней назад

    Pole babuu,msitembe peke yenu Albino wote,Msijitoe ufahamu

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 5 дней назад

    Hii ya alibino,n ngumu kumeza ikiwa mzazi ndoo mhusika police watajuaje labda kila kaya mueke police,mtalaumu police bure,labda serikali ijenge bweni kila kata wakae bwenini,