UTV Tanzania
UTV Tanzania
  • Видео 3 613
  • Просмотров 8 024 920

Видео

Wananchi Malawi waaga rasmi mwili wa aliyekuwa makamu wa rais
Просмотров 269 часов назад
Aliyekuwa makamu wa rais wa Malawi, Saulos Chilima, ameagwa rasmi leo, Jumapili, Juni 16, 2024 katika Ibada ya Kitaifa iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Lilongwe kufuatia mauti yaliyomkuta yeye na wengine wanane kwenye ajali ya ndege iliyotokea Juni 10,2024. Baada ya ibada hiyo iliyodhuriwa na maelfu ya wananchi wa Malawi, Chilima sasa atazikwa kesho, Jumatatu, Juni 17, 2024 kijijini k...
Rais Samia asisitiza familia na jamii kutoa malezi bora na ulinzi kwa watoto
Просмотров 169 часов назад
Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu wa Serikali, familia na jamii kushirikiana kuhakikisha watoto wanapata malezi bora yenye maadili mema na kusema kuwa usalama wa mtoto unapaswa kuwa jukumu la jamii nzima na siyo la mzazi pekee. Amesema hayo leo, Jumapili, Juni 16,2024 wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu kadhaa kutoka sehemu mbalimbali ,...
Abiria waomba elimu zaidi kuhusu upatikanaji wa tiketi za SGR
Просмотров 1,2 тыс.10 часов назад
Baadhi ya wasafiri wanaotumia mabasi ya kwenda mkoani Morogoro wameliomba Shirika la Reli Tanzania(TRC) kuendelea kutoa elimu juu ya namna ya kufanya ununuzi wa tiketi za safari za treni hiyo kwa kuwa wanakumbana na mkwamo wakati wa kukata tiketi za usafiri huo na kuwafanya waendelee kutumia mabasi ambayo wamedai yanawasubirisha vituoni kwa muda mrefu. @official_jennifersumi #AzamTVUpdates #tre...
Turejeeni malezi ya zamani, mlinde mtoto wa mwenzako kama unavyomlinda wa kwako
Просмотров 5417 часов назад
Jamii imetakiwa kurudi katika malezi ya zamani ambayo kila mmoja alikuwa anabeba jukumu la kumlinda mtoto wa mwenzake kama wa kwake ili kupunguza vitendo vya ukatili ambavyo hutokea mara kwa mara. Hayo yamebainishwa na Katibu Tawala Wilaya ya Tanga, Dalmia Mikaya wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Mtoto wa Afrika mbayo yameandaliwa na mdau wa maendeleo Ashura Sapi Shamte na kufanyika katika ki...
Mnyeti ataka ubora wa nyama ya ng'ombe uongezwe kupitia ufugaji wa kisasa
Просмотров 4919 часов назад
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Mnyeti amewataka wafugaji wa kisasa nchini kuongeza ubora wa mifugo yao ili kutoa fursa ya ushindani kwenye soko la kimataifa sambamba na kuwahudumia walaji wa ndani kwa nyama yenye ubora. Mnyeti ameyasema hayo kwenye maonesho ya sekta ya mifugo yanayofanyika Ubena Zomoni mkoani Pwani huku benki za NMB na TADB zikiahidi kuendelea kuwekeza zaidi kwenye ...
Kusuasua ujenzi wa maktaba chuo cha ardhi kwamkera Pinda
Просмотров 5119 часов назад
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Punda amekerwa na kuchelewa kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa Maktaba ya Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) kwa wakati kutokana na kuchelewa kuletwa kwa baadhi ya vifaa kutoka kwa mzabuni.
CHEKECHE | Serikali ya umoja wa kitaifa Afrika ya Kusini ina maana gani kwa chama cha ANC
Просмотров 4432 часа назад
Hatimaye Afrika Kusini imepata Serikali ya Umoja wa Kitaifa ikiwa ni ya ushirikiano wa vyama vya ANC, DA, IFP na vyama vingine vidogo baada ya chama tawala kukosa wingi wa viti bungeni katika uchaguzi uliofanyika mwishoni mwa mwezi uliopita. Na sasa ni rasmi Cyril Ramaphosa ametetea nafasi ya urais wa Afrika Kusini baada ya kuchaguliwa na Bunge kuongoza kwa muhula wa pili. Serikali hii ina maan...
Matobo rasimu ya kanuni uchaguzi serikali za mitaa watajwa
Просмотров 652 часа назад
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu 2024, suala la Ofisi ya Rais TAMISEMI kuendelea kusimamia uchaguzi huo, ongezeko la muda wa kampeni pamoja kuongezwa kwa umri wa mgombea kutoka miaka 21 hadi 30 ni maeneo ambayo vyama vya siasa vimeishauri serikali kuyatazama upya. #AzamTVUpdates Wahariri | Alpha Swai, John Mbalamwezi
Waziri Silaa aomba Serikali ipewe muda kumaliza 'sintofahamu' Mapinga, taharuki ya wananchi yapungua
Просмотров 1362 часа назад
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameingilia kati mgogoro wa ardhi uliozua taharuki katika eneo la Mapinga wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani kati ya wananchi zaidi ya 100 na mtu anayedai kumiliki eneo hilo lenye ukubwa wa ekari 12, Sevestin Mtunga ambalo wananchi hao wamejenga. Waziri Silaa ameelekeza zoezi hilo kusitishwa kwa muda na kumuomba mwakilishi wa Sevestin Mtun...
Mfanyabiashara matatani kwa tuhuma za kumlawaiti mtoto wa miaka 14 anayeuza dukani kwake
Просмотров 392 часа назад
Mfanyabiashara Blasistus Nicholaus (35) mkazi wa mtaa wa Kitasengwa Manispaa ya Iringa anatuhumiwa kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka 14 aliyekuwa akifanyakazi katika duka la mtuhumiwa. Mtuhumiwa huyo anadaiwa kufanya kosa hilo nyumbani kwake alipokuwa akiishi na mtoto huyo. Imeandaliwa na Joseph Mpangala || Mhariri @moseskwindi
Wananchi waiangukia serikali iwashughulikie wanaoharibu chanzo cha maji cha Bwawa la Igumila
Просмотров 102 часа назад
Wakazi wa Kata za Kitunda na Kiloli wilayani Sikonge wameiomba serikali kuongeza nguvu ya kukabiliana na wanaovamia na kuharibu vyanzo vya maji katika Bwawa la Igumila. Bwawa hilo ambalo ni chanzo kikuu cha maji katika mradi wa maji wa Igumila unaohudumia zaidi ya wakazi 20,000 ujenzi wake umegharimu zaidi ya Shilingi Bilioni Sita. Imeandaliwa na Juma Kapipi || Mhariri @moseskwindi
Msibani kwa Dkt. Shogo || Wabunge, wasomi na wananchi wamlilia, aacha watoto pacha
Просмотров 1142 часа назад
Msibani kwa Dkt. Shogo || Wabunge, wasomi na wananchi wamlilia, aacha watoto pacha
Tanzania kujenga bandari kavu DRC
Просмотров 1,4 тыс.4 часа назад
Tanzania kujenga bandari kavu DRC
Kodi kwa watumiaji wa magari yanayotumia gesi asilia yaibua majadala
Просмотров 2454 часа назад
Kodi kwa watumiaji wa magari yanayotumia gesi asilia yaibua majadala
Takwimu za ajali zawashtua viongozi wa serikali
Просмотров 534 часа назад
Takwimu za ajali zawashtua viongozi wa serikali
Ongezeko fao la mkupuo kwa wastaafu lawaibua TUCTA
Просмотров 364 часа назад
Ongezeko fao la mkupuo kwa wastaafu lawaibua TUCTA
Precision Air kumuenzi muasisi wake kwa kuongeza vituo na kuwashika mkono wenye uhitaji
Просмотров 654 часа назад
Precision Air kumuenzi muasisi wake kwa kuongeza vituo na kuwashika mkono wenye uhitaji
Maoni ya baadhi ya wananchi kuhusu Bajeti Kuu ya Serikali
Просмотров 1307 часов назад
Maoni ya baadhi ya wananchi kuhusu Bajeti Kuu ya Serikali
Baadhi ya masuala yaliyogusiwa katika Bajeti Kuu ya Serikali
Просмотров 947 часов назад
Baadhi ya masuala yaliyogusiwa katika Bajeti Kuu ya Serikali
Serikali yafanya maboresho katika malipo ya mkupuo kwa wastaafu
Просмотров 5787 часов назад
Serikali yafanya maboresho katika malipo ya mkupuo kwa wastaafu
Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano nchini Malawi yatembelea ofisi za AzamTV
Просмотров 407 часов назад
Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano nchini Malawi yatembelea ofisi za AzamTV
Kapinga ahimiza wananchi kufunga vidhibiti umeme ili kulinda mali na kuzuia ajali za moto wa umeme
Просмотров 437 часов назад
Kapinga ahimiza wananchi kufunga vidhibiti umeme ili kulinda mali na kuzuia ajali za moto wa umeme
Bajeti 2024 || Mhadhiri wa Uchumi Chuo Cha IAA na Jicho la Kiuchumi la Bajeti ya 2024 - 2025
Просмотров 617 часов назад
Bajeti 2024 || Mhadhiri wa Uchumi Chuo Cha IAA na Jicho la Kiuchumi la Bajeti ya 2024 - 2025
Wabunge Bajeti || Mbunge Aida Kenan na Hamisi Tabasamu wakieleza matarajio yao kwa Bajeti ya 2024/25
Просмотров 187 часов назад
Wabunge Bajeti || Mbunge Aida Kenan na Hamisi Tabasamu wakieleza matarajio yao kwa Bajeti ya 2024/25
Bajeti Kuu ya Serikali 2024/25 || Wasikilize wananchi wa Dar es Salaam na Kagera wakiisubiri Bajeti
Просмотров 367 часов назад
Bajeti Kuu ya Serikali 2024/25 || Wasikilize wananchi wa Dar es Salaam na Kagera wakiisubiri Bajeti
Exim Bank yaanzisha kampeni ya kukusanya damu ili kusaidia Benki ya Taifa ya Damu Salama
Просмотров 147 часов назад
Exim Bank yaanzisha kampeni ya kukusanya damu ili kusaidia Benki ya Taifa ya Damu Salama
TALIRI yaongezewa nguvu na Ireland utekelezaji mradi wa "Maziwa Faida"
Просмотров 207 часов назад
TALIRI yaongezewa nguvu na Ireland utekelezaji mradi wa "Maziwa Faida"
HOJA MEZANI || Matarajio ya bajeti kuu ya serikali kwa mwaka 2024/25
Просмотров 1507 часов назад
HOJA MEZANI || Matarajio ya bajeti kuu ya serikali kwa mwaka 2024/25
MADA || siku ya kimataifa ya uelewa kuhusu ualbino
Просмотров 177 часов назад
MADA || siku ya kimataifa ya uelewa kuhusu ualbino

Комментарии

  • @fredrickfuraha
    @fredrickfuraha 3 часа назад

    Maanake serikali inataka ipate pesa kupitia hao wa mwanzo watakao tumia njia ya gesi ili sasa hizo pesa ndo ziandae hizo miundo mbinu anazo zungumzia, mfano ujenz wa Vituo vya Gas pamoj na mitungi yake nafkir ndo lengo la serkali na hapo pia serikali italazimika kuongezea pesa maana mwitikio utakuwa mdogo tuy. 🙏🙏🙏

  • @ZakayomwinukaZakayomwinukatheb
    @ZakayomwinukaZakayomwinukatheb 5 часов назад

    😢😮 yangaaa tamuuu

  • @jacksonchilongani4478
    @jacksonchilongani4478 9 часов назад

    Unaazaje kupandisha kodi kwenye gas ikiwa watumiaji bado wachache pili vituo vichache bado yaan kuna haja gani kupandisha pesa ikiwa una dhamira ya watu kuachana na mafuta then unapandisha kisa kodi kiukweli mchumi hapa huna nia Tanzania kuepuka gharama nyingi za mafuta. Yaani tunawaza namna gani tupige hatua tutumie rasilimali zetu za gas asilia ifike mahala tubadilike tutumie vya kwetu jaman hii mambo ya kuuza kila kitu tukiamin wazungu ndio wanajua kutumia gas sio kweli kiufupi hiyo kodi mlio weka si rafik

  • @user-iw5hu3mc7l
    @user-iw5hu3mc7l 9 часов назад

    Huyu anaonekana mfilaji kweli mawani yake tu yamekaa kibashabasha

  • @masoudmongomongo244
    @masoudmongomongo244 10 часов назад

    Hii mechi ilikuwa ya mauji ya kimbale 😅😅😅😅😅 kipigo cha mbwa kala mboga ya watoto😂😂😂😂

  • @abuujihad8411
    @abuujihad8411 10 часов назад

    Duuh napita sna la kusema

  • @user-kh5vn8zu6w
    @user-kh5vn8zu6w 14 часов назад

    5G 👊🏻👊🏻

  • @matildamfoi8313
    @matildamfoi8313 15 часов назад

    Mungu WA mbinguni tusaidie tuoate haki yetu miaka zaidi ,30 kazini unakutana na maumivu makali ya kikokotoo chini ya nusu ya aliyekutangulia mwaka mmoja serikali yangu ,taifa langu, mawaziri wetu na wabunge wetu tuoneeni huruma tunakufa na sukari na pressure Mungu baba njoo mbona mnasema wazee easaidiwe, watibiwe waonewe huruma mbona sisi wazee wastaafu walioshiriki kuijenga nchi hii wanaumia hivi na kikokotoo Baba Mungu tusaidie tuoate haki yetu tuliyokuwa tunaitarajia toka tulipoajiwa Ahs Mungu

  • @mackarioussmakuri6147
    @mackarioussmakuri6147 16 часов назад

    Mabenki msiwe mnasema msiyo yatenda ruhusu watu wakope kwenu kwa kutumia hati miliki ili wajiendeleze mikopo imekua migumu mno ondoa masharti yasiyo na lazima

  • @stanleyadriano1993
    @stanleyadriano1993 16 часов назад

    hivi hapo mkude alikuwa anashangilia nn hapo😂😂😂😂😂

  • @rogatemsangi6418
    @rogatemsangi6418 День назад

    Wasinisahau mm fundi alluminium!

  • @stevenhm1561
    @stevenhm1561 День назад

    Inasikitisha sana! Kiumri na kisiasa taifa linamuhitaji!

  • @AdamSaffi211
    @AdamSaffi211 День назад

    Nchi imejaa viongozi watombaji, is this new? I doubt, most of these so called vigogo wanapenda wasichana wadogo wadodogo hao!

  • @user-ye7ek6bw2k
    @user-ye7ek6bw2k 2 дня назад

    Simba wajitahidi toka mwaka jana hawajaludisha magori😂😂

  • @user-rd3hk5qt5p
    @user-rd3hk5qt5p 2 дня назад

    Mabinti waache uzinzi kwenye uzinzi ndiko yanakotokea

  • @michaelmulokozi1512
    @michaelmulokozi1512 2 дня назад

    Kibu alitufunga midomo tukamfunga miguu😅😂

  • @deborahmgedzi632
    @deborahmgedzi632 2 дня назад

    Tukimbilie wapi?

  • @moreenbless-vr7oy
    @moreenbless-vr7oy 2 дня назад

    Hatimae tukawaingiza kwenye chama cha wala tano akina mwakalobo na ii ndo inayo watesa akina mwakalobo 😂😂😂😂

  • @moreenbless-vr7oy
    @moreenbless-vr7oy 2 дня назад

    8:47🎉🎉🎉🎉🎉

  • @moreenbless-vr7oy
    @moreenbless-vr7oy 2 дня назад

    6:20 daaah ila ii mechi jaman kama iludiwe 😂😂😂😂

  • @moreenbless-vr7oy
    @moreenbless-vr7oy 2 дня назад

    5:4 😂😂😂😂ila mtangazaji

  • @moreenbless-vr7oy
    @moreenbless-vr7oy 2 дня назад

    4:46🔥🔥🔥🎉🎉🎉

  • @moreenbless-vr7oy
    @moreenbless-vr7oy 2 дня назад

    Nkiwa na stress lazima nije uku kujiliwaza 😂😂😂 wake zetu walijua kututegea vzr 😂😂🙌

  • @Piscesblair
    @Piscesblair 2 дня назад

    Hongera sana Bulaya. Hili suala umekuwa ukilizungumzia toka huko nyuma, jinsi mifuko inavyokopwa na kutorudishiwa fedha zake kwa wakati. Sasa fall back position, wastaafu wabebe mzigo. Siyo haki kabisa. Big up my Sister

  • @user-zq1hy1ec5n
    @user-zq1hy1ec5n 2 дня назад

    Wewe Angekuwa ni mwanao usingesema hivyo tuache uchawa nawapongeza viongozi wa chuo simamieni shtaka hili ili iwe fundisho kwawengine waache kuwadhalilisha watoto wa kimasikini Ahsante RPC kwa Hatua unazochukua

  • @jasminhaji3175
    @jasminhaji3175 2 дня назад

    Yani nikiwa na huzuni hii ndo faraja yangu plus ile mechi na beluizdad ❤❤❤ na wamenipa nyongeza ya penalty za FA juzi mana nilijua nnapresure kumbe

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 2 дня назад

    Mchongo kutokana na utendaji wake wa kazi kama sabaya mnajitia aibu

  • @user-xt2cv3yt9y
    @user-xt2cv3yt9y 2 дня назад

    Mmekuwa watu wakuchafua watu huyo binti Ana jielewa kabsa Leo aingiliwe kinyume huo no uhunitu

  • @FurahaJeremiah-kd5ht
    @FurahaJeremiah-kd5ht 2 дня назад

    Hiyo ndio tume huru no Kama haijachaguliwa itasimamiaje uchaguzi

  • @FurahaJeremiah-kd5ht
    @FurahaJeremiah-kd5ht 2 дня назад

    Hawa ccm hawana hoja

  • @ShamgedaDawido-fb7nh
    @ShamgedaDawido-fb7nh 2 дня назад

    Simba vs geita gold

  • @godwinmasoud7180
    @godwinmasoud7180 2 дня назад

    Ngumu sana kuamini kwa kiongozi mkubwa kama yeye. Ikiwa ni kweli amefanya hivyo basi amefanya kosa kubwa sana kimaadili katika uongozi. Lakini inahitajika uchunguzi wa hali ya juu ili haki itendeke.

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 День назад

      Tatizo ushetani umezidi kwani alikua demu wake Tatizo kutaka ndogo

  • @OmariJuma-su6fz
    @OmariJuma-su6fz 3 дня назад

    Wachambuzi Amandazi

  • @OmariJuma-su6fz
    @OmariJuma-su6fz 3 дня назад

    www usizani urusi nimpumbavu kuanzisha vita hile sio afrika wale ni watu wamsimamo sio afrika waombamkate pamoja nawachambuzi naisi wachambuzi wengi wana lala na njaa polesana wachambuzi mahandazi

  • @safarimasika3944
    @safarimasika3944 3 дня назад

    Huo ni mchongo tu, dunia mpaka uiche a ikuache!! Ni tabu hasa ukiwa na cheo!!! Sio wa kwanza! Siasa tu

  • @user-fk8ki1cl4y
    @user-fk8ki1cl4y 3 дня назад

    Leo 13 jun naaangalia sichoki 😂😂 tabulele raaaaah

  • @allymwakasege8620
    @allymwakasege8620 3 дня назад

    Watuodolee ushulu wa matuta kusiwe na ushulu wowote

  • @allymwakasege8620
    @allymwakasege8620 3 дня назад

    Mizani tunapigwa faini kwa dora kwanini

  • @user-zt4rd5pr1e
    @user-zt4rd5pr1e 3 дня назад

    13/06/2024 saa19:58

  • @jamilamkunga234
    @jamilamkunga234 3 дня назад

    13/6/2024

  • @Aliscrepin
    @Aliscrepin 3 дня назад

    Mama uko sawa

  • @jumaomy-is1ez
    @jumaomy-is1ez 3 дня назад

    Niko apa naicheki

  • @user-cy5jg4cx7i
    @user-cy5jg4cx7i 3 дня назад

    Uongo mtupu huyo binti ni mwongo ni mzoefu alianzaje kwenda kazalilisha chuo hichohajafanyiwa ni mipango

  • @ummiissaabdulissaabdul8117
    @ummiissaabdulissaabdul8117 4 дня назад

    subhanallah pole mzazi ila nakulaumu kupeana mwanao angalia umepoteza furaha yako te na smeteseka malaika wa mungu

  • @ummiissaabdulissaabdul8117
    @ummiissaabdulissaabdul8117 4 дня назад

    lakini huu niupuzi watoaje mtoto wako mdogo kwa babaake ata kama ni waziri au ntajiri kiasi gani siwezi kumpatia mtoto wangu heri asinine ata shiling nlee mwenyewe mtoto wangu kuliko kupeana sasa angalia mtoto ameteseka mpaka kifo

  • @wistonramadhan4803
    @wistonramadhan4803 4 дня назад

    Facts👍

  • @williamchristopher2130
    @williamchristopher2130 4 дня назад

    Good talk sister Cecilia 👍

  • @user-rf8ip1cn5l
    @user-rf8ip1cn5l 4 дня назад

    Vp kuhusu tren ya arusha na dar haijaaza. Kazi

  • @MartinEllneema-xc8df
    @MartinEllneema-xc8df 4 дня назад

    ❤❤

  • @user-kp3ji7xo1l
    @user-kp3ji7xo1l 4 дня назад

    I love this interview Cecylia and that madam both speaking facts